Mzee Nulu Ssemakula kijiji kiitwacho Ruyonza nchini Uganda amewashangaza watu kwa kuongeza si mke mmoja wala wawili bali wake wanne. Hatua ya mzee huyo mwenye miaka 94 imekuwa ya kipekee katika kijiji ...
Licha ya utamaduni wa wanawake wa jamii ya Baganda kupiga magoti mbele ya wanaume kukosolewa kuwa kitendo kinachowadunisha watu wa jinsia hiyo, wanawake wa jamii hiyo na hata wa jamii zingine za ...
Raia wa Uganda Victor Kiplangat ameshinda medali ya dhahabu katika mashindano ya Riadha ya Dunia kwa wanaume yaliyofanyika Jumapili hii huko Budapest. Victor Kiplangat mwenye miaka 23 alikimbia kwa ...